Diamond kwenye Red carpet South Africa |
lakini safari hii tofauti na kwenye tuzo za MTV MAMA, msichana aliyekuwa ubavuni mwa Diamond kwenye tuzo za Channel O ni Zari the BossLady – na hivyo kuthibitisha tetesi zilizovuma kuwa wawili hao ni wapenzi.
WEMA AMWAGA WINO
Baada tu ya tuzo hizo kwisha Wema alipost “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,”.