ZA UKWELI SANA

UNGA UNAZIDI KUCHAFUA MAKANISA SASA!!!! VINARA NI WANAOJIITA MAASKOFU, WACHUNGAJI KILA ASUBUHI!!!!!

Unga unachafua makanisa
Kufuatia oparesheni kali inayofanywa na Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulenya Tanzania vigogo kadhaa wakiwemo viongozi wa dini wamekamatwa.
Hivi karibuni kikosi hicho kimemkamata askofu (mwangalizi mkuu wa kanisa) aliyetambulika kwa jina la Emeka Nwachukwu Mert (pichani) raia wa Nigeria ambaye ana kanisa la kiroho maeneo ya Sinza jijini Dar.

Januari 11, mwaka huu, Askofu Moris Charles alidaiwa kukamatwa na polisi maeneo ya Chinga Mbili mkoani Lindi akiwa na kilo 210 za madawa ya kulevya aina ya heroine yenye thamani ya shilingi bilioni 9.4, kesi yake bado inaendelea mahakamani mkoani humo.
Juni 8, 2011 polisi walifanikiwa kumkamata Mchungaji Kapupu Denis Okechuku wa kanisa la kilokole lililopo Kinondoni Biafra akiwa na kilo 81 za cocaine, kesi yao bado ipo Mahakama ya Kisutu, Dar.
CREDITS: GPL.

0 Response to "UNGA UNAZIDI KUCHAFUA MAKANISA SASA!!!! VINARA NI WANAOJIITA MAASKOFU, WACHUNGAJI KILA ASUBUHI!!!!!"

Post a Comment