ZA UKWELI SANA

UONEVU MKUBWA!!! MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI ALAWITIWA MARA KADHAA NA KIJANA WA MIAKA 23!!!!

A kid sodomized


INAUMA!! Ni tukio la kudhalilisha sana mara wazazi walipobaini mtoto wao akionesha maumivu sehemu ya haja kubwa na kumfanya kushindwa kutembea vizuri na hivyo kugundua kuwa mtoto wao alifanyiwa ndivyosivyo sehemu hiyo ya haja kubwa!!!


Kitendo hicho ambacho kimeshafunguliwa mashitaka kimetokea huko nchini Uganda katika wilaya ya Mukono ambapo mtoto huyo Richard Egesa alipendelea kwenda kwa jirani kuangalia TV ambapo mtuhumiwa Sande Ronaldo alikuwa akifanya kazi kama hausiboy na hapo ndipo alipotumia mwanya huo kuishibisha hamu hiyo ya kishetani!!.

Soma zaidi mkasa huu wa kusikitisha hapa

0 Response to "UONEVU MKUBWA!!! MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI ALAWITIWA MARA KADHAA NA KIJANA WA MIAKA 23!!!!"

Post a Comment