ZA UKWELI SANA

AMA KWELI NZI HUFIA KWENYE KIDONDA!!!! MFANYABIASHARA MKUBWA AFARIKI AKIFANYA MAPENZI KWENYE GARI!!!!!



Visa vya kufanya mapenzi kwenye magari vinaongezeka
Bukoba. Polisi mkoani Kagera inachunguza kifo cha mmiliki wa ukumbi wa klabu ya usiku ya Linas Night, Leonard Mtensa (50) ambaye inadaiwa alifariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye gari lake.


Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema Mtensa, ambaye alikuwa na mpenzi wake kwenye gari maeneo ya Buyekera, alifariki dunia kabla ya kufikishwa kituo cha afya cha ELCT Ndolage.
Alisema binti waliyekuwa naye kwenye gari anatokea mkoani Mara na kwamba tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana. Alisema baada ya gari lake kupekuliwa, vilikutwa vinywaji mbalimbali.
AMA KWELI INZI HUFIA KWENYE KIDONDA... SOMA ZAIDI MKASA HUU HAPA

0 Response to "AMA KWELI NZI HUFIA KWENYE KIDONDA!!!! MFANYABIASHARA MKUBWA AFARIKI AKIFANYA MAPENZI KWENYE GARI!!!!!"

Post a Comment