ZA UKWELI SANA

KESI BADO MBICHIIII: SASA KIFUNGO CHA KUGUSHI KINAMUITA SITTI MTEMVU!!!! NABII YASPI ADAI NI KONDOO ALIYEPOTEA!!!!

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014 akipokea maombi ya nguvu kutoka kwa Nabii Yaspi Bendera 
Mapya hayo yameibukia ndani ya Kanisa la Revelation Church lililopo Buza–Kipera jijini Dar....matukio zaidi... kwa Nabii Yaspi Bendera ambaye amezungumzia ishu ya Sitti kujivua  taji mwenyewe kwamba ni kuhama kanisa. ....!!!!...ona hapa...

Hata hivyo, Sitti ana kesi ya kujibu kutoka Rita na Idara ya Uhamiaji ya kughushi cheti cha kuzaliwa...ona hapa... na kwa sheria za Tanzania, mtu akithibitika kudanganya umri kifungo chake ni miaka 3 jela!!!!...zaidi hapa...


0 Response to "KESI BADO MBICHIIII: SASA KIFUNGO CHA KUGUSHI KINAMUITA SITTI MTEMVU!!!! NABII YASPI ADAI NI KONDOO ALIYEPOTEA!!!!"

Post a Comment