Helkopta ya Mch. Gwajima |
Helikopta ya Mchungaji wa
href="http://kichwatz.blogspot.com/2014/11/mch-gwajima-wa-ufufuo-na-uzima-azindua.html">...matukio zaidi... Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima imezinduliwa leo hii katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar na kuhudhuriwa na maaskofu wa makanisa mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo nchini....tukio la 1...
Mgeni rasmi ...tukio la 2...katika Uzinduzi huo alikuwa ni Mbuge wa Monduli, Edward Lowassa. Helikopta hiyo kazi yake...tukio la 3... ni kutoa msaada wa usafiri wa haraka wakati wa dharura na kuhubiria injili kupitia....tukio la 4... tukio la 5... tukio la 6...
0 Response to "MCH. GWAJIMA WA UFUFUO NA UZIMA AZINDUA HELKOPTA YAKE KWA MBWEMBWE!!! SASA KUIFUATA MISUKULE HUKOHUKO!!!"
Post a Comment