ZA UKWELI SANA

CHEZEA TAMU WEYE!!! WANAUME NCHINI KENYA WAMEONESHA MAPEMAAA KUPUUZA WITO WA KUSUSIA NGONO LEO!!!!!

Bwana Njoka amewataka wanaume kususia vitendo vya mapenzi
 kama njia ya kulaani dhuluma dhidi ya wanaume
Wanaume nchini Kenya wameonesha hisia tofauti tofauti kuhusu wito wa kiongozi wa shirika la maendeleo la wanaume nchini humo kwamba hii leo wasusie tendo la ndoa wasionyeshe hisia za mapenzi kwa wanawake iwe umeoa au hujaoa.
Wiki jana kiongozi huyo Nderitu Njoka amewataka wanaume nchini Kenya kufanya hivyo kuadhimisha siku ya kimataifa ya uhuru kwa wanaume inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 11 mwezi Novemba.
Pata stori nzima hapa

0 Response to "CHEZEA TAMU WEYE!!! WANAUME NCHINI KENYA WAMEONESHA MAPEMAAA KUPUUZA WITO WA KUSUSIA NGONO LEO!!!!!"

Post a Comment