ZA UKWELI SANA

LOL!! BWANA HARUSI APIGA MWEREKA CHINI NA KUZIMIA PALE TU BIHARUSI ALIPOFUNULIWA USO!!!!!! NDOA HIYO....

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi.Picha niaba ya gazeti la Daily Mirror nchini Uingereza
Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza na kuzimia wakati mpiga picha alipotaka kuwapiga picha.
Maharusi hao kutoka mji wa magharibi wa Saudia,Medinah walikubaliana kuoana licha ya kutoonana uso kwa uso,swala ambalo ni utamaduni mkubwa wa mataifa ya mashariki ya kati.
Mara tu alipofunua uso wake ili wapige picha... lol! bwana harusi akazimia kisha akang'aka, '' Si wewe msichana niliyetaka kuoa,si wewe kamwe niliyedhani '' kwa hivyo nakupa talaka''alisema bwana harusi.
Baada ya talaka hiyo ilikuwa ni zamu ya biharusi kuzimia!!!!!!!
Habari hii yote ya ukweli mtupu iko hapa

0 Response to "LOL!! BWANA HARUSI APIGA MWEREKA CHINI NA KUZIMIA PALE TU BIHARUSI ALIPOFUNULIWA USO!!!!!! NDOA HIYO...."

Post a Comment