ZA UKWELI SANA

HAYA WADAU ULE MPAMBANO MTAMU KATI YA BYUTIFU ONYINYE NA THE BOSSLADY UMEHAMIA KWENYE RED CARPET... KAZI NI KWAKO

Diamond kwenye Red carpet South Africa
Ikumbukwe kwa katika tuzo za MTV MAMA, ubavuni mwa Diamond kwenye red carpet alikuwa ni Wema Sepetu aka Madam. 

lakini safari hii tofauti na kwenye tuzo za MTV MAMA, msichana aliyekuwa ubavuni mwa Diamond kwenye tuzo za Channel O ni Zari the BossLady – na hivyo kuthibitisha tetesi zilizovuma kuwa wawili hao ni wapenzi.

WEMA AMWAGA WINO
Baada tu ya tuzo hizo kwisha Wema alipost “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,”.



VIPI MITOKO HIYO MIWILI???? EMB TUZIKAGUE KWA ZAMU...WEMA... ZARI .... TUHAKIKI

0 Response to "HAYA WADAU ULE MPAMBANO MTAMU KATI YA BYUTIFU ONYINYE NA THE BOSSLADY UMEHAMIA KWENYE RED CARPET... KAZI NI KWAKO"

Post a Comment