ZA UKWELI SANA

JIMAMA LIMEWAKWIDA VIJANA LINALOWADAI KWA KUNG'ANG'ANIA NYETI ZAO HADI NJEMBA ZIKATOA MAYOWE!!!!!!!!

Mama Ashura akidai hela yake kwa kugawa kipindo kwa wauza chips
Hivi karibuni mama mjasiriamali, aliyetajwa kwa jina moja la Mama Ashura ambaye ni mfanyabiashara wa viazi mviringo, anadaiwa kuwapa kipondo havi njemba watano kisa deni la viazi waliloshindwa kumlipa.

Baada kugawa kipondo havi sana kwa vijana hao ambao walianza kujichekeshachekesha kwa aibu huku kila mmoja akimtegea mwenzake amsogelee yule mama, ndipo mama Ashura alinyanyua beseni lilikuwa na chips na kuku karibu wa laki 2 na kutokomea nao huku akirusha vumbi barabara nzima!!!!

Kisanga hiki cha aina yake kipo chote hapa


0 Response to "JIMAMA LIMEWAKWIDA VIJANA LINALOWADAI KWA KUNG'ANG'ANIA NYETI ZAO HADI NJEMBA ZIKATOA MAYOWE!!!!!!!!"

Post a Comment