Lilian Kamazima |
http://kichwatz.blogspot.com/2014/11/lillian-kamazima-ndiye-miss-tanzania.html Lillian Kamazima ndiye Miss Tanzania 2014!!! ...see more...Badiliko hilo linakuja baada ya ...see more...Sitti Mtemvu kujivua taji hilo la Miss Tanzania aliloshinda mwaka huu mjini Dar es Salaam baada ya kuzongwa na mashabiki kuhusu umri wake....see more...
Akizungumza na BBC Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashim Lundenga waandaji wa shindano la Miss Tanzania amesema kuwa...see more... mrembo huyo amejivua mwenyewe taji hilo kwa...see more... kuandika barua bila kushinikizwa na mtu yeyote.
Sasa hamu imebaki kwa BASATA kujua nini walichokibaini katika uchunguzi wao.
Habari yote imelala hapa
Habari yote imelala hapa
0 Response to "LILLIAN KAMAZIMA NDIYE MISS TANZANIA MPYA!!! JE MNA MASWALI ZAIDI WATANZANIA??? MKAGUENI HAPA!!"
Post a Comment