Rais Kikwete akizungumza na daktari bingwa mpasuaji Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kufanyiwa upasuaji |
rais-kikwete-afanyiwa-upasuaji-wa-tezi.html">...see more...alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostate gland) katika hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore katika jimbo la Maryland nchini Marekani....see more...
Uperesheni hiyo ilichukua muda wa ...see more...saa moja na nusu mpaka sasa Kikwete bado yupo wodini akiendelea na matibabu lakini hali yake inaendelea vizuri....see more...
TUNAMWOMBEA RAIS KIKWETE APONE HARAKA!!! ...see more...
0 Response to "RAIS KIKWETE AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME NCHINI MAREKANI. INGIA HAPA KWA UNDANI ZAIDI."
Post a Comment