ZA UKWELI SANA

MASTAA HAWAISHIWI MAMBO!!!! SIRI YA JOKATE KUGANDANA NA WANAUME KAMA LUBA IKO MIKONONI....

Jokate Mwegelo ameonekana kuwaganda sana wanaume

MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.


“Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na wanaume lakini ukweli ni kwamba kampani yangu ya kike kubwa ipo nje ya nchi, sina jinsi,” alisema Jokate.


source: gpl

0 Response to "MASTAA HAWAISHIWI MAMBO!!!! SIRI YA JOKATE KUGANDANA NA WANAUME KAMA LUBA IKO MIKONONI.... "

Post a Comment