Add caption |
HA! HA! HA!! VITU VINGINE INABIDI UCHEKE LAKINI SI VYA KUCHEKA!!! Kumetokea tukio ambalo linaaminika laweza kuwa ka kufungia mwaka 2014 pale
dereva wa bodaboda aliyekuwa ametangulia na maiti kuipeleka kuzika kujikuta akiiacha pikipiki yake na kutimua mbio mara aliposikia maiti aliyobeba ikifurukuta na kisha kukohoa!!!!!!!!!!!
Tukio hilo limetokea Jumapili hii huko nchini Uganda katika wilaya ya Rakai pale maiti ya Zakaria Kasagga, mvuvi maarufu, iliyokaa kwa siku tatu kufufuka masaa mawili tu kabla mazishi yake!!!!!
Kama ubuyu haukupitagi nusu zama hapa.
0 Response to "MTUMEEEE!!! NDIVYO DEREVA WA BODABODA ALIVYOLIA PALE MAITI ALIYOBEBA KUMWOMBA ASIMAME KWANZA!!!!!"
Post a Comment